Nipe muda, kwani kila jambo lina wakati wake. Usinihukumu kwa hatua za sasa, maana kila hatua ina msimu wake, kama ilivyoandikwa katika Mhubiri 3:1. Kila hatua ni sehemu ya safari yangu ya kuelekea kileleni.
Author: Mtumishimama